Full Time: Tanzania 2 Morocco 3 | Futsal WAFCON 2025 | Final Match

Full Time: Tanzania 2 Morocco 3 | Futsal WAFCON 2025 | Final Match

Hawa vijana wanaupiga mwingi kuliko machawa nawaombea heri .....kipa wao ni hatari kuliko wa uto....hapo kasababisha penalt
 
utasikia warabu masikini hii over view ya mji sio poa
 
Kipindi cha pili sikuiona Tanzania ikicheza kwa malengo tofauti na wenzao morroco
 
Back
Top Bottom