Kumbe kuna gemu linapigwa na hunambii lo vibaya hivoooo
Kimataifa tuiachie Simba tu.Tujaribishe shughuli nyingine, mpira wa kimataifa hapana
Kama kawaida yetu tunashenyentwa tuu. Hapo zambia nae aje ajipigie. Tz ndio kibonde wa kundi 🤣🤣🤣🤣tunachezesha over age ila bado tunapigwa
Na huko kwa sababu kuna kununua wachezaji wakigeni lakini ingekuwa wabongo tupu hamna kitu pia tungekuwa twapigwa tuuKimataifa tuiachie Simba tu.
Bora ata ujaambiwa utahmiza roho tuu maana sie ni kukojolewa magoli tuuKumbe kuna gemu linapigwa na hunambii lo vibaya hivoooo
Doh kumbe mambo yenyewe ndohivo hapana kwakweli !Bora ata ujaambiwa utahmiza roho tuu maana sie ni kukojolewa magoli tuu