Full Time: Tanzania 0 - 1 Sierra Lione | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 03 May2025

Full Time: Tanzania 0 - 1 Sierra Lione | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 03 May2025

Ilikua kabla hatujafungwa ila sasa tushafungwa so hatuna. Mechi ya kwanza tulicheza na SA tukala kimoja sasa leo ya pili tunacheza na SLE tushafungwa hadi sasa kwahiyo ikiisha hivi hivi tunalala 0.
Kumbe hii ndio 2nd match hapo sawa
 
Mahambulizi yanaendelea ila hayana madhara
 
Dakika ya 56 bado tupo nyuma kwa goli 1
 
  • Thanks
Reactions: K11
Sijui uwanja unateleza au viatu vya David Sports Wear? Madogo wanateleza teleza kinoma
 
Dah kosa kosa imetokea hapa lamboni kwa SLE
 
Tumefanya Sub, ametoka Said kaingia Mandeke
 
Hawa wachezaji wtu watawaua watoto wa SLE
 
Sioni mkakati wa kurudisha goal hapa
 
Tumefanya sub nyingine mbili hapa..
 
SLE wana ukuta mpana huku nyuma sijui tuuvunjaje
 
Sub mbili za SLE zishafanyika
 
Mashambulizi hafifu sana tunafanya
 
VAR wanacheki kama kuna penalty hapa
 
Hamna penalty mpira unaendelea, dakika ya 74
 
Duh tumekoswa koswa na header hapa,
 
Back
Top Bottom