Full Time: Tanzania 0 - 1 Sierra Lione | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 03 May2025

Full Time: Tanzania 0 - 1 Sierra Lione | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 03 May2025

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,139
Reaction score
88,800
FULL TIME: Tanzania 0 - Sierra Lione 1


Leo tena Group A mapambano yanaendelea kwa Tanzania wakikipiga na Sierra Lione na sasa ni Dakika ya 28.
Hadi sasa msimamo wa Group A uko hivi:
group A.jpg
 
Mechi iliopita tulicheza na South Africa tukala kimoja kwa bila
 
Dah walituweka goli bahati nzuri ikawa offside.. VAR imesema ni GOALLLL
 
Hii nchi tunaweza nini sijui Kimataifa
 
Kipa anajitahidi ila mabeki wa ovyo haijawahi kutokea. Mechi ya pili tunapoteza kwa ujinga wa mabeki
 
Kona hapa upande wa SLE ila haijazaa matunda..
 
  • Thanks
Reactions: K11
Tumepigwa kaunta imepelekea kupoteza mpira na kua kona kwetu..
 
  • Thanks
Reactions: K11
Kona imepigwa, ikatua header ila haijaleta madhara
 
Katika group A team zote zina Point kasoro Tanzania..
 
Wachezaji na bench zima la ufundi ni kama hawana uchungu na pesa za Watanzania
 
Faulo kuelekea SLE ipo nje kidogo ya box
 
Mpiga faulo ndezi tu hana kitu... mashambulizi yamegeuka kwetu sasa
 
Dakika 3 za nyongeza zimewekwa pale kabla 1st half haijaisha
 
Faulo kuja lango letu, nje kidogo ya box,
 
Kipa kaipokea kwa utulivu kabisa..
 
Back
Top Bottom