Full Time |NBC PL| KMC 1-2 Simba SC | KMC Complex, Mwenge | 16:00

Kmc kwenye mechi yenu hii ya futuhi mnawazawadia kolo goli ngapi niweke Mkeka wa goli nyingi nipige hela
 
Mwamuzi wa mchezo nani? Maana hapo ndipo mchongo wa ushindi wa fedgeha unapo andaliwa.
 
Leo tunaendelea na zoezi letu la kumuandaa mfungaji bora wa NBC, MVP na kupunguza tofauti ya pwenti na magoli na uto. Baada ya hapo tuna majukumu ya kimataifa. Tukitoka huko tunakuja kumalizana na uto June 15.
 
Wakuu,
Leo majira ya saa 10kamili kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mtanange wa kawaida ambapo matajiri wa jiji la kinondoni, KMC FC watawaalika SIMBA SC kunako mikiki mikiki ya NBCPL Msimu huu!
nani atavuna nini na nini kitatokea katika mtanange huu,usikubali kusimuliwa.
uzi huu ni kwa ajiri yako
Ambatana nami ng'adu kwa ng'adu mwanzo hadi mwisho wa uzi huu kwa kile kinachojili katika mchezo huo.
Karibuni.
 
Mashabiki wa Simba wamechoshwa na fixing Sasa wameamua kukaa nyumbani na kuangalia el classico
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…