Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,139
- 88,801
Utangulizi:
Futsal ni Football ila inachezewa kwenye viwanja vidogo kama vya basketball, na havina nyasi vigumu kama basketball.
Sasa kuna mashindano ya Futsal ya Africa, kwa upande wa Wanawake yanayofanyika Morocco kwa huu mwaka.
Kila upande una wachezaji sita, na mpira ni dakika 40, inamaana dk 20 kila kipindi.
Sisi tupo Group C na Senegal na Madagascar
Leo Match Day 2, Madagascar vs Tanzania.
Mechi inaendelea, kipindi cha pili, zimebaki dk 10.
Madagascar 4
Tanzania 4