Karibuni katika mechi hii ya kombe la Shirikisho Africa kati ya Mwenyeji CS Constantine dhidi ya Simba Sc inayochezwa katika dimba la Mohamed Hamlaoui (Algiers - Algeria)
Ni mechi ya mzunguko wa pili kwa timu hizi mbili..
Mechi ya kwanza CS Constantine walishinda 1-0 dhidi ya CS Sfaxien huku Simba SC wakiwafunga FC Bravos bao 1-0
Je nini kitatokea leo? Kuwa nami mwanzo hadi mwisho wa kipute hiki
#TotalEnergies
#CAFCC