Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,450
- 5,279
Mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza kati ya Arsenal na Manchester United umeamalizika kwa ushindi kutoka kwa mashetani wekundu Man United wa goli tatu kwa mbili.
kudadadeki!!
😂😂😂😂😂 umegeuza kibao tayar?kudadadeki!!
man u mmpiga bomu mwochwari
Ndio tatizo kucheza na timu ndogo wanakamia mechi mno 😁
kwahio trend ya aseno😂😂😂😂😂 umegeuza kibao tayar?
Unajifariji siyo 😂😂😂😂?Ndio tatizo kucheza na timu ndogo wanakamia mechi mno 😁
Tulia bwana mdogo😂😂😂😂kwahio trend ya aseno
sisi Man City ni bingwa.