A aunt rachel Member Joined Aug 4, 2017 Posts 12 Reaction score 4 Aug 11, 2017 #1 Stress ni pale mwalim wa art anaposubiri ajira kitaa,huku kiongozi katoa tamko wanatakiwa walim wa science Sent using Jamii Forums mobile app
Stress ni pale mwalim wa art anaposubiri ajira kitaa,huku kiongozi katoa tamko wanatakiwa walim wa science Sent using Jamii Forums mobile app
mbere JF-Expert Member Joined Mar 5, 2015 Posts 6,967 Reaction score 6,469 Aug 11, 2017 #2 Utasababisha vijana wapate presha jioni hii Sent using Jamii Forums mobile app
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,153 Reaction score 185,451 Aug 11, 2017 #3 Stress ni pale unaposubiria mshahara uingie lakini unapata taarifa kwamba unatakiwa kuhakiki jina lako kwani limefanana na mtu mwingine ambae tayari alishahakikiwa.... Cc: mahondaw
Stress ni pale unaposubiria mshahara uingie lakini unapata taarifa kwamba unatakiwa kuhakiki jina lako kwani limefanana na mtu mwingine ambae tayari alishahakikiwa.... Cc: mahondaw