Full Stack Software Engineer job opening at ENGIE Powercorner

Arduino Sentinel

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Messages
205
Points
500

Arduino Sentinel

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2014
205 500
Full Stack Software Engineer job opening at ENGIE Powercorner, find the attached pdf for more details. Application deadline is Oct 25th 2019.

If have a question, just ask it on this thread, please, don't ask me anything related to this post via inbox, otherwise everything is pretty explanatory on the attached pdf. Good luck!

EDIT:- #Updated Job Description
 
Attachments:

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
15,286
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
15,286 2,000
Master’s degree in a relevant engineering discipline....
Hapa ndio huwa nashindwa kuwaelewa most of these recruiting firms haswa hapa Afrika, kuweka kigezo cha masters kwa kazi ya software engineering ni njia moja ya kupoteza muda. Most software engineers akipata degree ya kwanza baada ya hapo wengi hujiongeza kwenye maujuzi ambayo yapo mengi sana, huna muda tena wa kurudi chuo ukafuate masters.
Asilimia ndogo sana ya developers ndio hutumia muda kufuata masters.
Halafu naona jamaa wameweka "Outstanding written and verbal communications skills in English", huko kwenu Tanzania kingereza hamkipendi kwa kigezo kwamba kujua kingereza sio uwezo wa kutumia akili, sasa matangazo kama haya huwafungia watu wengi sana.
Anyway ni fursa nzuri kwa atakayefaulu.
 
Arduino Sentinel

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Messages
205
Points
500

Arduino Sentinel

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2014
205 500
Master’s degree in a relevant engineering discipline....
Yah, so the reason behind was balancing with the required knowledge but the actually masters cert paper isn't necessary, kama candidate ana at least 70% of the required knowledge. Another reason being, equal opportunity kwa candidates from all current subsidiaries ( France, Belgium, Tanzania na Zambia ), basically its just acting as a filter, so if a candidate doesn't have a masters but still confident that s/he has what we want then that is exactly what we are looking for!
 
Arduino Sentinel

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Messages
205
Points
500

Arduino Sentinel

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2014
205 500
Hapa ndio huwa nashindwa kuwaelewa most of these recruiting firms haswa hapa Afrika, kuweka kigezo cha masters kwa kazi ya software engineering ni njia moja ya kupoteza muda. Most software engineers akipata degree ya kwanza baada ya hapo wengi hujiongeza kwenye maujuzi ambayo yapo mengi sana, huna muda tena wa kurudi chuo ukafuate masters.
Asilimia ndogo sana ya developers ndio hutumia muda kufuata masters.
Halafu naona jamaa wameweka "Outstanding written and verbal communications skills in English", huko kwenu Tanzania kingereza hamkipendi kwa kigezo kwamba kujua kingereza sio uwezo wa kutumia akili, sasa matangazo kama haya huwafungia watu wengi sana.
Anyway ni fursa nzuri kwa atakayefaulu.
I agree with most of what you say, in fact, i think the best candidate out of this won't even have a masters. But as you know, at some point university rewarded papers qualifies for the best filters. But let me see can kuna changes zinaweza fanyika. Regarding communication, aisee outstanding is very important for communication out side the subsidiary(and there will be alot), in that case, English is the main Language for communication across all subsidiaries (not even French though its a french company).
 
Arduino Sentinel

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2014
Messages
205
Points
500

Arduino Sentinel

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2014
205 500
Masters? Kwa disciplines technical hivyo? Hapana. Nakataa.

Hakuna mtu experienced in all that ambaye atabother kwenda kusoma Masters.

In fact, hata kumkuta aliye unemployed ni ngumu.

If you want a proper developer, ondoa kigezo cha elimu and just test on skills.
Makes sense, thanks for the input, ngoja tuone if some changes could be done asap.
 
ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Messages
4,439
Points
2,000

ISO M.CodD

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2013
4,439 2,000
Aisee hizi kazi hutaona comment na likes nyingi. Yani people have no idea kinachoendelea.

Haina tofauti na hizi za juzi za eGA. Nimefuatilia leo naona only 150 shortlisted candidates kwenye applications programmer na web applications developer, na 30 ndio walipata 50% passmark ya kwenda oral.

Dah.
 
MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
15,286
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
15,286 2,000
Aisee hizi kazi hutaona comment na likes nyingi. Yani people have no idea kinachoendelea.

Haina tofauti na hizi za juzi za eGA. Nimefuatilia leo naona only 150 shortlisted candidates kwenye applications programmer na web applications developer, na 30 ndio walipata 50% passmark ya kwenda oral.

Dah.
Kuna baadhi ya sifa zimetajwa humo ndani ambazo sio rahisi kumpata mtu wa namna hiyo hana ajira, labda ifanyike poaching, yaani mdau apatikane aliyeajiriwa sehemu nyingine na anatafuta green grass. Sema ni fursa nzuri sana, hii mtangaziane baina yenu huko, ni fursa inayoweza kusaidia mhusika aishie kuwa very professional and marketable hadi kimataifa.
Kama vipi itangazwe EAC ndio ndugu zangu Wakenya watume maombi humo hehehehe!!!
 
kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Messages
558
Points
1,000

kali linux

JF-Expert Member
Joined May 21, 2017
558 1,000
Masters? Kwa disciplines technical hivyo? Hapana. Nakataa.

Hakuna mtu experienced in all that ambaye atabother kwenda kusoma Masters.

In fact, hata kumkuta aliye unemployed ni ngumu.

If you want a proper developer, ondoa kigezo cha elimu and just test on skills.
Good.

Hata google na apple wanakwambia GPA's are worthless criterias for hiring. 40% ya wafanyakazi wa google hawana vyeti vyovyote vya college. Na inasemekana kufikia 2022 zaidi ya nusu ya wafanyakazi wa google watakua hawana vyeti vya chuo lkn wanaingia kwa kupimwa skills zao. Makampuni mengi ya kiafrika yanakuwa limited kwa sababu ya kutumia hii old-fashioned way ya kuangalia degree na masters.
 
MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
15,286
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
15,286 2,000
Good.

Hata google na apple wanakwambia GPA's are worthless criterias for hiring. 40% ya wafanyakazi wa google hawana vyeti vyovyote vya college. Na inasemekana kufikia 2022 zaidi ya nusu ya wafanyakazi wa google watakua hawana vyeti vya chuo lkn wanaingia kwa kupimwa skills zao. Makampuni mengi ya kiafrika yanakuwa limited kwa sababu ya kutumia hii old-fashioned way ya kuangalia degree na masters.
Halafu usaili wa Google huwa sio mchezo, wale jamaa hukagua msaili mpaka basi, hauwezi kwenda kwao umekariri vitu ukategemea wakuajiri, yaani vyeti vyako au kukariri havitokusaidia, lazima ujiandae tena sana, wao huangalia uwezo wako wa kudadavua mambo, ubunifu na utashi wako na jinsi gani unapenda unachokifanya.

Vijana hunijia na vyeti rundo, lakini nikiuliza mtu aonyeshe mradi wowote ambao amewahi kuufanya yeye kama yeye hata kama bado hajapata fursa ya kuajiriwa sehemu, yaani akiwa mwenyewe kama kuna software yoyote amewahi kuwaza kuihusu, akapambana nayo kuanzia mwanzo mpaka mwisho, hapo ndio huwa mtihani, wengi wanakuambia kuhusu ile college project aliyotumia kuwasilisha kwa wahadhiri, lakini baada ya chuo hajawahi kushughulika tena.
 
Rog chimera

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Messages
263
Points
250

Rog chimera

JF-Expert Member
Joined Apr 28, 2018
263 250
Good.

Hata google na apple wanakwambia GPA's are worthless criterias for hiring. 40% ya wafanyakazi wa google hawana vyeti vyovyote vya college. Na inasemekana kufikia 2022 zaidi ya nusu ya wafanyakazi wa google watakua hawana vyeti vya chuo lkn wanaingia kwa kupimwa skills zao. Makampuni mengi ya kiafrika yanakuwa limited kwa sababu ya kutumia hii old-fashioned way ya kuangalia degree na masters.
uongo mtupu, asilimia kubwa ya wafanyakazi wa Google wasiokuwa na degree ya cs,se au ce wana degree katika mambo mengine hasa technical kma engineering na IT , wasio kuwa na cheti chochote cha college ni wachache mnoo tena uwe smart na experience ya kufa mtu ,uonyeshe real projects ulizofanya na hizo system ulizotengeneza zinatumika wap sio bla bla,usirahisishe mambo kiivo mzee. Kwanza kwenye shortlisting tu procedure ya kwanza huwa cv ambazo hazina cheti zinatupwa huko!
 
MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
15,286
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
15,286 2,000
uongo mtupu, asilimia kubwa ya wafanyakazi wa Google wasiokuwa na degree ya cs,se au ce wana degree katika mambo mengine hasa technical kma engineering na IT , wasio kuwa na cheti chochote cha college ni wachache mnoo tena uwe smart na experience ya kufa mtu ,uonyeshe real projects ulizofanya na hizo system ulizotengeneza zinatumika wap sio bla bla,usirahisishe mambo kiivo mzee. Kwanza kwenye shortlisting tu procedure ya kwanza huwa cv ambazo hazina cheti zinatupwa huko!
Njoo huku Quora waliko wasaili wa Google wenyewe wanakuambia nini wao hukagua, vyeti ni muhimu lakini sio kigezo pekee yake, kama huna hawakutupi nje wanakuskliza tu.

How can you get a job at Google without a degree?

Bruce R. Miller
Bruce R. Miller
, works at Google
Answered Jul 30, 2015 · Upvoted by Kelvin Ho, Worked at Google (2008-2014)
https://www.quora.com/How-can-you-get-a-job-at-Google-without-a-degree#

Yes, you can get any job you like at Google without a degree. I sat in on a hiring committee session the other day and the recruiter told me about someone with no degree who got extremely high marks on all the interviews except one. The committee looked at the one low-scoring interview, tossed it because it was a bad question, and hired the person.

The real question is, can you get an interview at Google without a degree? You'll need something to show why you are more qualified than the other 999 people applying for the same job. That might be work experience or some other accomplishments.
74.4k views · View Upvoters

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Messages
558
Points
1,000

kali linux

JF-Expert Member
Joined May 21, 2017
558 1,000
uongo mtupu, asilimia kubwa ya wafanyakazi wa Google wasiokuwa na degree ya cs,se au ce wana degree katika mambo mengine hasa technical kma engineering na IT , wasio kuwa na cheti chochote cha college ni wachache mnoo tena uwe smart na experience ya kufa mtu ,uonyeshe real projects ulizofanya na hizo system ulizotengeneza zinatumika wap sio bla bla,usirahisishe mambo kiivo mzee. Kwanza kwenye shortlisting tu procedure ya kwanza huwa cv ambazo hazina cheti zinatupwa huko!
NILIKUWA SITAKI KUREPLY UTUMBO WAKO LAKINI NGOJA NIREPLY ILI KUKUSAIDIA.

USIWE UNASEMA KITU NI UONGO BILA KUWA NA USHAHIDI WOWOTE, MIMI NIMESHAFANYA APPLICATIONS MBALIMBALI KWA MAKAMPUNI YA NJE NA NINACHOKWAMBIA NINA UHAKIKA NACHO.

MFANO MDOGO TU MAKAMPUNI KAMA ANDELA, APPLE, ACCENTURE etc... WANATUMIA QUALIFIED.IO KUACCESS ENGINEERS WAO BILA KANGALIA VYETI VYAO VINASEMAJE
Screenshot_2019-10-10 Qualified - The Most Effective Platform for Assessing Software Engineers.png

PIA KUNA MKUTANO ULIOONGOZWA NA IBM ULIHUSUSHA ZAIDI YA 150 EXECUTIVES WA MAKAMPUNI MBALIMBALI MAKUBWA NA WALIFIKIA CONCLUSION KWAMBA MASWALA YA KUANGALIA VYETI HAYANA NAFASI KWENYE KARNE HII COZ KARNE HII INAHITAJI WATU WENYE HIZI SKILLS
1)CURIOUSITY
2)ADAPTIVE TO CHANGES

AMBAZO KWA CURICULLUM ZETU HIZO SKILLS HAZIKUZWI WALA KUFUNDISHWA MASHULENI AU VYUONI
 
co fm

Senior Member
Joined
Jul 20, 2016
Messages
119
Points
225

co fm

Senior Member
Joined Jul 20, 2016
119 225
NILIKUWA SITAKI KUREPLY UTUMBO WAKO LAKINI NGOJA NIREPLY ILI KUKUSAIDIA.

USIWE UNASEMA KITU NI UONGO BILA KUWA NA USHAHIDI WOWOTE, MIMI NIMESHAFANYA APPLICATIONS MBALIMBALI KWA MAKAMPUNI YA NJE NA NINACHOKWAMBIA NINA UHAKIKA NACHO.

MFANO MDOGO TU MAKAMPUNI KAMA ANDELA, APPLE, ACCENTURE etc... WANATUMIA QUALIFIED.IO KUACCESS ENGINEERS WAO BILA KANGALIA VYETI VYAO VINASEMAJE
View attachment 1228897

PIA KUNA MKUTANO ULIOONGOZWA NA IBM ULIHUSUSHA ZAIDI YA 150 EXECUTIVES WA MAKAMPUNI MBALIMBALI MAKUBWA NA WALIFIKIA CONCLUSION KWAMBA MASWALA YA KUANGALIA VYETI HAYANA NAFASI KWENYE KARNE HII COZ KARNE HII INAHITAJI WATU WENYE HIZI SKILLS
1)CURIOUSITY
2)ADAPTIVE TO CHANGES

AMBAZO KWA CURICULLUM ZETU HIZO SKILLS HAZIKUZWI WALA KUFUNDISHWA MASHULENI AU VYUONI
Nikuulize bila mtu kwenda shule au chuo hizo skills atazipataje hapa kibongobongo?Maana wengi tumepata skills hizo huko vyuoni,halafu vyuoni kuna asilimia kubwa ya hao curious people pia na hao adaptive to changes
 
Forum statistics

Threads 1,355,749
Members 518,732
Posts 33,117,778
Top