Full music system inauzwa kwa bei ya kutupa...

Full music system inauzwa kwa bei ya kutupa...

black chinese

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2016
Posts
1,148
Reaction score
1,229
Tv chogo aina ya Panasonic, DVD deck aina ya Singsung pamoja na subwoofer aina ya Pinetech vinauzwa kwa pamoja...
Bei ni 200k.
Location...Mkuranga.
Sababu ya kuuza check Google kuokoa muda.
1476545011503.png
1476545029732.png

Cont. 0715 193810.
 
kipi kimekufanya uweke 300k?kariakoo hiyo tv mpya 120000,sabufa mpya 80000,deki 40000-45000 jumla 240000 hapo vyote ni vipya,jivyo vyako utazeek navyo.
 
Old is gold....chogo mkataba hilo..utazika flat screen 5 kabla halijafa.
 
kipi kimekufanya uweke 300k?kariakoo hiyo tv mpya 120000,sabufa mpya 80000,deki 40000-45000 jumla 240000 hapo vyote ni vipya,jivyo vyako utazeek navyo.
Dogo ukivihitaji nishtue tuhongee inbox...
Sio unachonga kuwapa watu faida...Sio kila mtu anapafahamu kariakoo....
 
Back
Top Bottom