FULL MATCH: ISRAEL 4 IRAN 1

site zimepigwa zikiwa kwenye mahandaki chini, sasa satelite unayoongeleea wewe ni ipo boss?
Unless hujui english ,uwe unafuatilia international news siyo kila habari utaipata millard ayo
 
tehran walijua wanauliwa wote sasa wamebaki wataachaje kusherekea? kwao huo ni ushindi mkubwa
Nani alianzisha vita? halafu utuambie hapa nani alijificha kwenye kwenye mapango underground
 
Nani alianzisha vita? halafu utuambie hapa nani alijificha kwenye kwenye mapango underground
alienzisha vita israel, na akatimiza malengo yake, aliyejificha ni hayatola
 
Nani alianzisha vita? halafu utuambie hapa nani alijificha kwenye kwenye mapango underground
netanyahu yeye anapiga tuu misele kama kawa, ila kibabu ndo kipo chini mapangoni
 
Attachments

  • 6cd1cd90e63aeb67c8f15ecf6b7dafc0.mp4
    3.2 MB
iran zaidi ya kulenga aprtment kipi kingine amefanya?
Ilani sio apartment kawacha kweli kweli mpaka trump wakati anaomba poo alikiri hilo kwa kusema Israel was fucked very hard for this last two days
 
Ilani sio apartment kawacha kweli kweli mpaka trump wakati anaomba poo alikiri hilo kwa kusema Israel was fucked very hard for this last two days
zaidi ya apartment wapi walipiga zaidi?
 
Weka hii picha kwenye huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…