Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,344
- 21,241
Hii Haina tofauti na jambazi linnakuwa kwenye mahusiano na Binti wa watu ambaye ni bikra, Kila siku jambazi anaomba mchezo Binti anamtolea nje mpaka siku jambazi anatega mitego yake vizuri Binti anakuja ghetto anambaka kisha anamuomba msamaha alafu hapo hapo Binti anatamka "ukiomba Tena sikupi"Us kaomba ceasefire baada ya kumaliza kazi yao, kazi ilikua ni kulipua nuclia sites, wamezilipua lengo lao limetimia sasa kama washamaliza waendelee kupigana ili iweje? unafikiri kurusha ndege zaidi ya 50 kila siku kutoka telaviv kwenda tehran na kurudi ni kazi ndogo?
HAKUTAKA KUZIGUSA HILA ANGETAKA IRAN KUZIPIGA DAKIKA 2 TU HATA HAO USA KUPGA HZO NUCLEAR SITE ZA IRAN ILIKUA GERESHA TU HAKUOIGA KM ANGEPIGA KWELI MIONZI YAKE INGESAMBAA ENEO KUBWA LAKINI HAKUNA MIONZI ILIYOTOKAHivi unajua kama nuclear site hazijaguswa hata kidogo na expert wote wameconfirm ikiwemo cnn ?
Watu wanasherehekea ushindi uko Teheran wewe ndio kwanza upo na kasumba zako jamiiforumsMechi imeanza
Goli la kwanza: Iran Kapigwa airdefense zake zote
Goli la pili: iran kauliwa scientist wake na viongozi wake wote wa kijeshi, hapa mabeki wa ujasusi wa iran wamelala
Goli la tatu: military assets zake theluthi moja zimeharibiwa
Goli la nne: vinu vya nuclear vyote vimeshambuliwa
Iran kabahatisha karudisha goli moja kashambulia apartments za telaviv, jerusalem na haifa
Referee TRUMP kamalima mechi dakika 90
ISRAEL 4, IRAN 1
Ile tulivokua tunaaminishwa na wavaa kobasi na mashehe ubwabwa humu kwamba Iran ina nguvu kubwa za kijeshi kumbe ni mipasho tuu.. iran amepigwa kama mtoto akaanza kushambulia apartments.. mtu amekaa kwenye anga lako wiki mbili na hujamfanya chochote ? ameshindwa kudondosha ata drone moja? aibu kubwa hii
Wanasherekea kuuwawa kwa makamanda wao na wanasayansi wa nyuklia au kubomoa apartment za Tel aviviWatu wanasherehekea ushindi uko Teheran wewe ndio kwanza upo na kasumba zako jamiiforums
Mbona mayahudi wameshindwa kusherehekea
Makamanda wako wanauwawa wewe unabomoa apartment alafu unajiona umeshindaHii mechi Israel mtoa roho ndiyo alikuwa mwenyeji, kwamaana ndiyo alianza. Matokeo ya mchezo ni Israel 1 - Iran 5. Hapo refa wa ndani, washika vibendera, wa VAR wote walikuwa upande wa Israel, ila Iran kaibuka mshindi.
Comment yangu isiguswe.
17. Kuuwa makamanda wa juu wa IsraelUnaleta ushabiki Mandazi kwenye vita.
Hii ilikuwa siku ya 9 ya vita.
Iran imepiga !
🟢 1. Kiwanda cha Umeme cha Hadera
Moja ya mitambo mikubwa ya umeme nchini Israel, iliyoko kaskazini mwa Tel Aviv.
🟢 2. Msingi wa Kiriya
Makao Makuu ya Jeshi la Ulinzi la Israeli (Kamanda wa Kijeshi).
🟢 3. Kituo cha Kuhifadhi Mafuta ya Haifa
Kituo kikuu cha kuhifadhi mafuta na nishati kaskazini mwa Israeli, muhimu sana kwa usafiri wa anga na usafiri.
🟢 4. Kiwanda cha Umeme cha Haifa
Miundombinu ya nishati inayokata umeme kaskazini mwa Israeli.
🟢 5. Nevatim Air Base
Kambi ya kijeshi ya jeshi la anga ya F-35 kusini mwa Israel.
🟢 6. Uvda air base
Kituo cha amri, udhibiti na shughuli za kijeshi za kielektroniki.
🟢 7. Tel Nof Air Base
Kambi ya kijeshi ya kimkakati ya anga ya Israeli.
🟢 8. Jalil Base
Kituo cha kijeshi kaskazini mwa Israeli.
🟢 9. Miundombinu ya bandari za Haifa
Vituo vya mafuta na baharini na besi za Israeli.
🟢 10. Kituo cha Sayansi cha Weizmann
Moja ya vituo muhimu zaidi vya utafiti nchini Israeli.
🟢 11. Mji wa viwanda wa Kiryat Gat
Kituo cha teknolojia na tasnia, pamoja na viwanda vya semiconductor.
🟢 12. Wizara ya Ulinzi ya Israeli
Kituo kikuu cha amri na mipango ya kimkakati ya kijeshi.
🟢 13. Kituo cha Utafiti wa Nyuklia cha Israeli
Eneo la kimkakati katika eneo la Tel Aviv.
🟢 14. Kampuni ya Rafael huko Haifa
Msambazaji wa mifumo muhimu ya ulinzi kwa Israeli.
🟢 15. Msingi 8200
Israel Cyber Operations and Evesdropping Center.
🟢 16. Makao Makuu ya Mossad
Huduma ya ujasusi ya Israeli.
Wewe punguani soma haya maneno ya watu wa Iran, nyie wagalatia ndiyo mnaogopa kufa.U
17. Kuuwa makamanda wa juu wa Israel
18. Kuuwa wataalamu na wanasayansi wa Nyuklia wa Israel
19.Kuua kiongozi wa Intelligence Mosad na msaidizi wake NDANI ya jengo
Endelea na list kadri unavyojisikia mkuu
JF were dare talk openly bila hata source
Iran kabahatisha karudisha goli moja kashambulia apartments za telaviv, jerusalem na haifa
Sio apartments tu kituo cha technologia cha Israel ambacho kiliasisiwa tokea 1930, (Microsoft) kile kituo kilikuwa No.6 duniani, ndio kituo kilichokuwa na wataalam wa israel na wanasayansi wa hali ya juu cha Israel, ndio sukani ya security ya ulinzi wa Israel Iran walikibakisha vumbi tuWanasherekea kuuwawa kwa makamanda wao na wanasayansi wa nyuklia au kubomoa apartment za Tel avivi
site zimepigwa zikiwa kwenye mahandaki chini, sasa satelite unayoongeleea wewe ni ipo boss?Na wewe unaendaga shule za wapi ? Unakujaje na news anazozitoa israel? CNN ambaye ni mmarekani amekuonyesha hadi sattelite pictures kuonyesha hakuna kilichoharibiwa wewe unasikiliza story za abunuwasi za taifa teule,murndage shule
tehran walijua wanauliwa wote sasa wamebaki wataachaje kusherekea? kwao huo ni ushindi mkubwaWatu wanasherehekea ushindi uko Teheran wewe ndio kwanza upo na kasumba zako jamiiforums
Mbona mayahudi wameshindwa kusherehekea
🤣🤣🤣 Bomu lilipigwa kwa chini hivyo juu hakuna matokeo hizi akili hizisite zimepigwa zikiwa kwenye mahandaki chini, sasa satelite unayoongeleea wewe ni ipo boss?
juu yameonekana mashimo tuu vinu viko chini mita 60🤣🤣🤣 Bomu lilipigwa kwa chini hivyo juu hakuna matokeo hizi akili hizi
Na wewe unaendaga shule za wapi ? Unakujaje na news anazozitoa israel? CNN ambaye ni mmarekani amekuonyesha hadi sattelite pictures kuonyesha hakuna kilichoharibiwa wewe unasikiliza story za abunuwasi za taifa teule,murndage shule
Ok sasa umekubali kumbe vinu havijaathirika maana mashimo yenyewe hayajafikia kinu hii safijuu yameonekana mashimo tuu vinu viko chini mita 60View attachment 3386090
vinu viko chini mita 60 bomu limepenya mita sitini ndo likalipuka wairan wenyewe wamekiri vinu vimeshambuliwa sasa we unataka satelite ya chini ya ardhi?Ok sasa umekubali kumbe vinu havijaathirika maana mashimo yenyewe hayajafikia kinu hii safi
Hebu bishana na wataalam kwanzavinu viko chini mita 60 bomu limepenya mita sitini ndo likalipuka wairan wenyewe wamekiri vinu vimeshambuliwa sasa we unataka satelite ya chini ya ardhi?
Hebu bishana na wataalam kwanza
Halafu vinu kushambuliwa haimaanishi havitafanya kazi tena
Mkuu ni habari hii tu ndio mnaikubali vip ile ya kusambaratishwa kwa makao makuu ya mossad unayo ?View attachment 3386099
naona unabishana na wenye nchi