Full High Day ya leo sasa...

heeee unajua alichofanya lakini?!?!? au unamuombea tu msamaha?!?
usijali ntamsamehe!
vipi mambo lakini?
..mie mpenda AMANI wala sijui nini kimefanyika..btw ni pouwaaaaa..Tiketi unayoooo
 
ahaaa ukijua niko selo waropoka huku ndio nshajua hivoo ulivyoo msg sent na ukome kumfuatilia mdogo wangu ukome kabisaaa

Ayaaaaaaaa...umetoka lini shemeji!?? Believe me, ni Ngowi ndo ameandika hapa..alikuwa ofisini mida hii!!!!


bold ya kwanza si maanishi bro mkuu ni yule aliye vaa nyekunduuu...
bold ya pili..game unaangalia wapi?

Nimekusoma vyema kaka....none of them!!!! wala siwataki nina very tight schedule i said!

Game naenda Golden Tulip kaka....

eheheeheeeee..mabwaku!!! namjua bi harusi!
by the side road ninakumaindi sanaaaaaaaaa

Najua unanimind balaa....na sijui how do i make it up to you!!!! how do i ....how do i...!???:disapointed:
 
Najua unanimind balaa....na sijui how do i make it up to you!!!! how do i ....how do i...!???:disapointed:

usijali...bahati yako san a@Kipaji Halisi kakuombea msamaha!
somalia atakwambia kitu kuhusu kuhusu kuleeee tulikoona a nice a$$
weekend njema!
 
usijali...bahati yako san a@Kipaji Halisi kakuombea msamaha!
somalia atakwambia kitu kuhusu kuhusu kuleeee tulikoona a nice a$$
weekend njema!

Amina...nakupenda sana wewe!!!!

haya nangojea a call from her....

na wewe utakuwepo? zile tarehe zimekaribia nianze kuandaa mistari au bado bado!??:yell:
 
Amina...nakupenda sana wewe!!!!

haya nangojea a call from her....

na wewe utakuwepo? zile tarehe zimekaribia nianze kuandaa mistari au bado bado!??:yell:

ahahahahahaaaaa khaaa umekariri? badobado bwanaaa
 
ninayo hapa mkononi, niangalia home hapa ...
 
kuna watu kutoka mjini watakuja kuionesha hii sinema nyumbani kwa mjumbe wa nyumba kumi...kama vipi ukuje basi

leo ni ndefu sana....ndio maana naenda senema........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…