Jonogomero
Member
- Feb 8, 2012
- 99
- 27
Katika maisha aibu hazikwepeki,
Enzi hizo nikiwa form two likizo nilienda kumtembelea ndugu, si wakanitandikia kwenye kochi la watu watatu, nikalala kuja kushtuka mida ya saa 11 nimejikojolea chapa chapa. Niliondoka kwa aibu kabla hata wageni hawajaamka. Full aibu.
Haya na wewe tuambie full aibu yako ilikuwaje????
Hii si ni comed ya last week jama
Demu m1 nilifika kwake kwa nia ya kumtongoza,baada ya kuanza ktongza mara nikajamba!....
We unaende kuimbisha huku umekula makande ya maharage unategemea nin!!... Na ungeendelea kukaa hapo ungejnyea kabisa!!...
mm nilijinyea siku ya arusi mbele ya kasisi
mm nilijinyea siku ya arusi mbele ya kasisi