full aibu....

Jonogomero

Member
Feb 8, 2012
99
27
Katika maisha aibu hazikwepeki,
Enzi hizo nikiwa form two likizo nilienda kumtembelea ndugu, si wakanitandikia kwenye kochi la watu watatu, nikalala kuja kushtuka mida ya saa 11 nimejikojolea chapa chapa. Niliondoka kwa aibu kabla hata wageni hawajaamka. Full aibu.
Haya na wewe tuambie full aibu yako ilikuwaje????
 
Hii si ni comed ya last week jama
 
Siku natafutwa, kisa nimempa kitambi mtoto wa sheikh mmoja, basi mtaani kila sehemu ikawa nongwa kila nikipita ni full vidole kwangu, sijafika hata home wajanja wakanitonya nikajisepesha halafu haikuwa hata mimba yangu
 
Kipindi waifu aliposafiri. Ile siku anarudi akafanya usafi kwenye chumba cha kulala. Akaokota condoms 3 used uvunguni.
Niliaibikaje!
Kuua so,nikasingizia labda panya walizileta kutoka chumba cha shamba boy. Hakuniamini !
 
Demu m1 nilifika kwake kwa nia ya kumtongoza,baada ya kuanza ktongza mara nikajamba wakati huo demu alkuwa anakula alikaa kimy kwa mda bila kuongea ikabdi nijiondokee zangu full aibu
 
Back
Top Bottom