Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,266
si kila kitu cha ku pm weweUngemPM ingekuwa vizuri zaidi.
zilikuwa zinauzwa au ilikuwaje?Mimi niliziona kadhaa mahakamani pale Arusha.
usije ukashangaa hadi sredi linatokomea hujajibiwa.si kila kitu cha ku pm wewe
wanataka michango ya fedha so wasisubiri toa ndugu. Waweke vitu walivyoahidi sokoniusije ukashangaa hadi sredi linatokomea hujajibiwa.
Baby Prety mbona unapenda rushwa,we all want em,you got any info spill it out here!xoxonaomba niwajibu wote mliochangia hapo juu.......hizi t-shirt zilitoka kama majaribio.......na imeridhisha kuwa members wengi walizipenda na uhitaji wa t-shirt hizi ni mkubwa kwa sasa,zile zilizotoka wakati ule zimekwisha,juhudi za kutengeneza nyingine zinaendelea....hivyo basi......bwana Globu....unakaribishwa sana, na idea yako ni nzuri......unaweza kuniPM kama utahitaji maelezo zaidi
kama 2ngepata na wheel covers ingekuwa safi sana..mods nipeni hyo tender
hii ni idea nzuri pia.......wasiliana na support@jamiiforums.com.........kuwasilisha wazo lako
Baby Prety mbona unapenda rushwa,we all want em,you got any info spill it out here!xoxo