Fukuza Marekani nchini

Bosi asusiwi utalala njaa.Masikini hawezi mkomoa tajiri
Haya ndio mambo tusiyoyataka haya,kama wewe maskini ni wewe,sisi wengine Watanzania ni matajiri.Utakiri umaskini mpaka lini wewe?
 
Haya ndio mambo tusiyoyataka haya,kama wewe maskini ni wewe,sisi wengine Watanzania ni matajiri.Utakiri umaskini mpaka lini wewe?
Utajiri wetu hauendani na hali halisi sioni jitihada za kuondoa umasikini zaidi ya kuongeza idadi ya masikini kwa kuwasomesha namba kwa kuwakazia vyuma zaidi
 
Utajiri wetu hauendani na hali halisi sioni jitihada za kuondoa umasikini zaidi ya kuongeza idadi ya masikini kwa kuwasomesha namba kwa kuwakazia vyuma zaidi
Wewe umejifunza angalau Economics kidogo kweli,maana duh,inaonekana uko empty kweli kweli
 
Wewe umejifunza angalau Economics kidogo kweli,maana duh,inaonekana uko empty kweli kweli
Itikadi za kijamaa ziliwahiondoa umasikini wapi?Kwann wakoloni waliweza sisi tunashindwa kwa raslimali hizohizo ambazo awajazimaliza hata robo ya zilizopo
 
Taarifa za nn mzee? Inakatwa mirija yote ya USAID
 
Wafukuzeni tu..mkimaliza msije kuleta visingizio kuwa Watu weusi wenzenu walio Tanzania pia nao wanawazibia riziki nao wafukuzwe.
Hawa watu weupe nao walipaswa watunyooshe tu...
 
Itikadi za kijamaa ziliwahiondoa umasikini wapi?Kwann wakoloni waliweza sisi tunashindwa kwa raslimali hizohizo ambazo awajazimaliza hata robo ya zilizopo
Bado unaendelea kuonyesha kwamba uko mtupu.Nenda kasome kitabu kinachoitwa "Why Europe Underdeveloped Africa" ufute matongo tongo.
 
Hiyo namba naona imepungua herufi moja maana PS anakupigia hupatikani kujaza nafasi ya katibu wa mataga
 
Kazi hauna na bado unaleta ujeuri....
 
Nani asiyejua mtoa mada umeandika sana notes za darasani uliposoma ili kiukweli huna unachokijua
 
Kupatikana Ajira kwa hawa vijana graduates ni muhimu saana aisee..naona hadi namba za simu wanaweka waziwazi wasaidiwe..2011 alikuwa anamaliza form four..akaanza kuijua USA..leo anaandika kwa ghadhabu kabisa kuhusu Marekani..πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Sawa umejitahidi na ni mawazo mazuri tu kwa level zako. Asante kwa Andiko Robert Heriel Taikon Wa Fasih...
 
Bado unaendelea kuonyesha kwamba uko mtupu.Nenda kasome kitabu kinachoitwa "Why Europe Underdeveloped Africa" ufute matongo tongo.
Nakijua Sana na nimesoma vingi tu.Ameandikwa kwa nadharia ya matakwa yake kutazama mabaya tu.Yeye na wwe na wengine wote ni sawa na kisa cha mbaazi kusingizia jua mwafrika kashindwa kuendelea anasingizia mkoloni utadhani ni Africa tu ndo iliyotawaliwa.CHINA,INDIA,MALAYSIA,HONGKONG,LATIN AMERICA nk wao awajatawaliwa na wakoloni?Waafrica tujiliamu wenyewe juu ya matatizo yetu na sio kuwasingizia wakoloni waliondoka miaka 60 iliyopita na hata robo ya mali awajamaliza Mali iliyppo Africa bado ni nyingi kuliko iloyochukuliwa.Hata Leo tukisema tubadilishane nao tuwape Africa nasie tupewe ulaya haitofika miaka 5 tutaanza kuzamia Africa tena.
 
Uko wapi jitokeze basi ujibu hoja za wajuvi wa mambo haya, ok najua uliwaza haraka haraka utambue kwamba bado tunawahitaji hao mabeberu zaidi ya wao wanavutuhitaji sisi kwa kiasi kikubwa tukiwafukuza hata raia wetu kule watafukuzwa pia, ARVs, condoms, LLITN,misaada na mikopo mbali mbali, umeme wa REA tutanyimwa, deni la taifa linakalbia 60trn najua utakuwa wa kwanza kukimbia nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…