Ngoma haijawah kuzoeleka ndugu...tuache kudanganyana...Alafu kwa nn watu weng wanaogopa ukimwi ?huwa najiuliza Mara kadhaa cpati majibu ,Kuna magonjwa mfano presha ,kisukari,kufery kwa Figo ,kansa, n.k iweje ukimwi ndo tishio nadhani Yale matangazo ndo yalichangia kutuogopesha siku hzi siyasikii
Hahaha kwamba watakipata wanachokipima siku moja.Niende kupima ili iweje? wana dawa za kunipa nipone?
Mi mnaopima nawambia tu mtakipata mnachokitafuta.
True man...Majibu mazuri ni yale unapewa moja kwa moja. Sio mambo ya kuanza kupeana ushauri. Hii huongeza hofu na presha kuwa juu.
Haiwezekani mimi mwenyewe nimejileta afi wewe uanze kutoa nasaha. Hayo yote nakuwa nimeshamalizana na halmashauri ya kichwa changu ndiyo maana nafikia maamuz ya kuja kupima.
Sent using Jamii Forums mobile app