Fuga kuku wa kienyeji aina ya Kuroiler.

kigoma1

Member
Nov 20, 2010
26
7
Je, unajua ni Kwanini [HASHTAG]#Kuroiler[/HASHTAG] ndio kuku mwenye faida kuliko kuku mwingine yoyote .

Kuroiler ni mchanganyiko wa kuku wa aina mbili. Ni mchanganyiko wa Jogoo wa broiler ( Kutoka Sasso). Hawa Sasso wanakuwa na umbo kubwa na kuongeza uzito (nyama).
Akapandishwa Jike wa Rhodes Island Red huyu anasifa kubwa Kwenye utagaji wa Mayai.
Kwahio Kuroiler ni Kuku mwenye sifa za kuwa na uzito mkubwa ( kutoka kwa Baba) na Mayai mengi ( kutoka kwa mama).

Hivyo Basi kama wewe ni Mfugaji na unataka kupata kipato kupitia Kuku fuga [HASHTAG]#Kuroiler[/HASHTAG].

Kwasababu:
1. Anakua kwa Haraka zaidi. (Karithi kwa Jogoo)
2. Anataga Mayai mengi zaidi ( karithi kwa mama)
3. Ana kuwa na uzito mkubwa zaidi ya kuku mwingine. Jogoo anaweza kufikisha kilo 5 katika miezi mitano wakati kuku wengine wa kienyeji wanafika kilo 3 Baada ya Mwaka mmoja.
4. Mayai ya Kuroiler na nyama yake ni Bora zaidi. Mayai yana kiini cha njano na radha nzuri sana.
5. Gharama za kuwatunza ni za kawaida kabisa: unaweza ukamuachia akajitafutia Chakula mwenyewe.

Tunauza Vifaranga wa [HASHTAG]#Kuroiler[/HASHTAG],

Piga Simu 0715 601 605 weka order yako.
Bei ni sh 2,500 tu kwa kifaranga.

*Chanjo ya Marecks
*Na mafundisho ya ufugaji vinatolewa Bure!
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom