Fuatilia matangazo ya Taifa Stars Vs Kenya Live

Fuatilia matangazo ya Taifa Stars Vs Kenya Live

Megawatt B

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2011
Posts
259
Reaction score
69
Wadau leo kuna mechi kibao za kimataifa, mwenye link ktk internet atupie hapa wengine leo tupo maeneo hayana DSTV wala nini.
 
Kuna muda niliambiwa Agrey Moris aliifungia Starz goli la kuongoza.
 
Stars bado wanagoli moja na wanacheza vizuri dak17 kipindi cha pili
 
mfungaji ni Aggrey Moris .Timu ilicheza vizuri hasa Samatta, kaseja ulimwengu na moris
 
Hii thread haitakuwa na wachangiaji wengi sana kwa sababu star imeshinda lakini kama ingekuwa imefungwa sasa hivi tungekuwa na page hata zaidi ya sita; Hongera stars kwa ushindi japo ni mfinyu.
 
Hongera kwa ushindi sema tunataka mabadiliko kuna majina ya muda mrefu kama Kaseja inabidi waanze kutafutiwa replacement kama tulivyowapunguza kina Nsajigwa.
 
Back
Top Bottom