Shemeji : alikuwa ananiita jina la kyoma
Nikaitika naam kyoma
"Hakikisha unaaga kwa uyo mjaruo wako
(Boss)
Nikasema sawa nitampitia wakati naenda stendi saa tatu
Kyoma alinipatia sh elfu ishirini kama hela ya kula njiani na shilingi elfu kumi nimpelekee uyo rafki angu Kama zawadi kwani aliwahi kumsaidia kupata kazi ya udereva uko mgodini kipindi tunasoma wote veta kupitia kwa kaka yake aliyekuwa mkarimani wa wazungu ivo yeye kupata ulaji wa miezi kadhaa ns kitita cha pesa kibindoni
Hauchi hauchi Sasa umekucha
Napokea sms inayosema natoka shule naenda stendi
Sawa safari njemaa tutawasiliana
Ukiwa kweye gari
Nachukua simu yangu nampigia soro rafiki angu Sana (sijui Yuko wp siku hizi)
Nikamwanbia hakikisha unatafuta guest nzuri sana anbayo iko pembezoni mwa mji wa tarime ,,akasema chukua boda uje uangalie hii iko uku maeneo ya REBU KAMA UNAELEKEA NORTH MARA mgodini
Kwake John Eche
yes nakuja fasta kaka
Nikapitia kwa boss wangu ambaye nishamweleza habari za safari siku moja iliyopita ivo napita kuchukua ata hela ya pango angalau siku 2 au tatu
Boss alinipa sh 5O akasema nyingine atatuma Airtel money ( 30) apo nikawa na uhakika wa kula na kunywa na mpenzi wangu Ayesgaa mwanamke wa ndoto zangu tangu zamanii
Nikafka rebu kwa kaka soromon kweli ile guest ilikuwa ina hadhi ya kuishi na uyo binti aliyekuwa anakarbia kuingia chuo kikuu
majira ya saa sita mchana nikapokea cm
Uko wp mm nimechoka Sana apa niko kwa Sehem imeandikwa Zacharia
--sehemu zenye neno Zacharia tarime ziko nyingi Sana je uko sehem yenye Zacharia nn?
Kama hutaki kunifuata nambie nirudi sawaaa eeee
Alijbu kwa hasira nikacheka kwa dharau yaani kiume aswaaa
Akasema niko zacharia kiwanda cha soda za cocal cola ohoo haaaaa yes wahoooooo my karbu sana
chukuaa boda mwambie akulete mtaa wa rebu Kama unaenda majengo mapya alafu akuache guest moja imeandikwa new hope Kama ukipata Kanda maalumu TARIME ROLYA
Akaitikia nawewe uko wp?
Utanikuta apo getini
Sawa wangu nakuja
Aya sawaa asantee sana
Dk 5 ni nyingi alifka roho yangu ilifurahi sanaaaaa kuona ndoto zangu zinaenda kutimia japo sikujali pesa kiasi gani kitapotea na madhara ya badae
Potelea mbali taka taka ya chinaaa
Tukaingia chumbani kweli ni pazuri sanaa na sijawahi fika maeneo kama haya tangu naona
,,,,basi kila mtu anaona aibu kwa mwenzio ,,,akachukua taulo na kwenda kuoga
Nikabaki peke angu naangalia marudio ya Siri za familia kwenye TV
Uku roho inasema chukua cm yake
Ukague kama ana boyfriend mwingine
Nikashka cm naona sms zangu tu na call zangu tu,,akiwa amesave "2 be"
Nikavimba sanaaa na kukenua meno yote njeeeee
Haaaaaaaaaa kicheko kizuri Sana na cha furahaaa
Akili ikaja na wewe badilisha jina
Ayesgaaa---mtima wangu
Ohoooo akarudi toka bafuniii nikamwambia pole
Kwa upole pole ya nini uhuni huu tu unanipa pole ya nn sitaki
Unataka nn?
Akajbu nataka. ,,,,,chakulaaaa
Sawa usjal ngoja nikupe chakula
Nikatoa hotpot iliyojaa kiongozi wa meza
Na soda na mango kubwaaaa
Ya azam
Alifungua na kuanza kutoa chozi la furaha
Uku akisema Asante sanaaa my
Mimi: asantee kwa kuja wewe
Yeye: nawa ule ata kidogo basi
Wazeee nikahisi naanza maisha mapya,,nikasahau shida zote duniani
Nikawa mwepesi sanaaa daah Aya maisha mafupi Ila ni matamu
Naomba usiende mbali Sana Kuna
K.O * utapata funzo zuri sana*