FT: Yanga SC 4-1 CFFA | CAFCL | Azam Complex | 1:00 Usiku

Yanga nao walikuwa wanacheza na walevi wa CFFA . Goli nyingi kama netball
 
Nashangaaa!!! Uzi umechundraaaaaa!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wala issue siyo uzi kuchunda, bali jukwaa hili sasa hivi ni upuuzi mtupu, vimejaa vitoto havina issue, anaweza akatoka hapa badala ya kucomment akaanzisha thread ambayo angewwza kuweka comment yake hapa.

Namkumbuka mdau muhimu sana wa jukwaa hili Gang Chomba yuko wapi huyu mzee wa AC Milan, kama mpira unadunda basi udunde kwwnye maji.

Hili jukwaa limekufa kifo cha asili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…