FT: Yanga SC 4-1 CFFA | CAFCL | Azam Complex | 1:00 Usiku

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,086
Reaction score
7,097
Yanga wanaingia uwanjani leo katika mchezo wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya CFFA ya Madagska uwanja wa Azam Complex

Yanga anafaida ya ushindi wa kwanza ugenini wa goli nne kwa sifuri, kwahiyo mchezo wa leo ushindi wowote au sare kwao watatinga hatua ya makundi kwa mara ya nne mfululizo.

 
Kamilisha ratiba tuuuu
 
Nitarudi kuishabikia Yanga pale huyo kocha tumbo tumbo atakapo stahafishwa na kurudishwa kwao akaongeze nguvu kwenye waandamanaji wanaofukuza wahamiaji haramu
 
Timu za Tanzania zinapendelewa
 
Hatimaye wakubwa wanacheza jioni kukamilisha ratiba ya kuingia hatua ya makundi! huku watoto wakicheza mchana wa jua kali.
 
Kikosi hakionekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…