FT: Simba SC 3-2 Namungo FC | Ligi Kuu NBC

FT: Simba SC 3-2 Namungo FC | Ligi Kuu NBC

Simba SC(sports club) ni timu ya michezo mingi. Zamani tulikua na timu ya masumbwi(boxing), netball na hata riadha na ndio usajili wetu kwenye vyombo husila unavyosema

Ingekua Simba FC(footbal club) isingeleta maana kiviile kua na michezo mingine ingawa kisheria haina shida

Elimu haina mwisho Shadeeya , nami nasubiri kama kuna mwenye maoni tofauti atupatie faida
Ooh! Ahsante kwa Darasa Boss kubwa.
 
Back
Top Bottom