ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,295
- 31,699
😂😂😂 mpka refa kaingiliaekati
naona mzeewetu kazingatia engle
Aibu hii😂😂😂 mpka refa kaingiliaekati
Tuta ni sehemu ya mchezoDuh hata match hii mnashinda kwa tuta la mchongo
Huyu si ndio yule mliyekuwa mnaimba hamumtaki? Ngoja nilale zangu, hakuna mechi hapa.Kafunika
🤣😂😂Hawa wapuuzi wanalalamika nini ile ni penati clear
Afadhali umekiri na mapemaBado hakuna timu hapa mpaka sasa. Labda tuendelee kusubiri