Sasa ulitaka aoneshe pira papatu papatuNguvu Moja. Mwenye kibanda anaonyesha Utopolo


Wacheza wao tu.....uamini majicho au
Ni kawaida timu bora zikikutana.Doh mbona ni kama wanatushambulia?
Kuna ka sredi kenu kule kamepoa, ukwende huko ukangamshe.Ukiona kimya kimezidi ujuwe inawanyeeshea simba.
Kwani ni timu gani yeye...Kuna ka sredi kenu kule kamepoa, ukwende huko ukangamshe.