FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Saido anapata kadi yake ya njano muda mfupi tu baada ya kuingia
 
Kwa mpira huu wa papatu papatu, mna nafasi finyu sana ya kufika robo fainali msimu huu. Hatua hii mnaweza kupita. Ila msitarajie makubwa kwenye hatua ya makundi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…