FT | Power Dynamos 2-2 Simba SC | Levy Mwanawasa Stadium | September 16, 2023

Freekick tunapata nje kidogo na box baada ya Kibu kufanyiwa faulo
 
Chama anapiga mpira unababatiza ukuta na kuzaa kona
 
Hizi midfielder za simba ngumu mnoo kama zinakula mawe, haziwezi kutuliza timu, namba 6 anacheza nje ya eneo kwa muda mwingi,kiungo hakina commanding.

Atoe huyu kanoute aingie ngoma.. simba wanahitaji na namba 8 mwenye akili,uwezo sawa ama zaidi ya NGOMA
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… asee hii Simba itafika mbali wallah
 
Toa kambombe niwekee mwenda apige kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…