FT: NBC Premier League | Young Africans 3-0 Coastal Union | Mkapa Stadium | YANGA BINGWA

Naam dk 90 za mechi ya mchongo zimemalizika kwa timu ya wananchi Yanga Sports club kuibuka na ushindi wa goli 3-0 za mashaka dhidi ya Coastal Union wana Mangush.
shukran nyingi ziende kwa gsm kwa juhudi zake za kusambaza bahasha za kaki.
 
Kabebe matofali kule bunju yanakusbiri

Yanga huwa inakata moto mzunguko wa pili au hatukusema hivyo?
 
MABINGWAAAAAAAA
IMG_20220615_224758.jpg
 
Back
Top Bottom