Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 416
- 1,051
Kylian Mbape Makolokolo yakiteseka hivi kwanini Wananchi tusinenepe?Kila la kheri namungo
Naunga mkono hojaKylian Mbape Makolokolo yakiteseka hivi kwanini Wananchi tusinenepe?
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
All the Best My Team 🤠NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.
Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo.
Unadhani nani ataibuka mshindi? Fanya kutupia utabiri na uchambuzi wako hapa.
Mechi ni saaa 12, Simba ndio King of Social Media relax uzi wa simba unaenda hadi posts 800+. This is Simba brother.Mbona uzi hautembei nan muda unakaribia