FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

Mbeya kwanza wanapata kona hapa baada ya faulo iliyopigwa kuokolewa na goli kipa wa yanga na kutoka nje kusababisha kona

Matokeo bado ni 0-2
 
Yanga inacheza counter attack, yani ukishatoka kwa kipa unapelekwa kwa kaseke
 
Mayele kafunga goli la offside kama kawaida yake kashangilia kelele nyingi zikamfanya ashindwe kusikia filimbi ya kibendera mpaka wenzake walipomstua
 
Naona hapa kuna trend kwa wachezaji wa yanga kila mmoja kwa nafasi yake akipata mpira anajaribu kuonesha juhudi kufanya kile alichokifanya juzi wakili msomi
 
Navyosema mayele ni shati tu ebu fikiria kilichotokea sekunde chache zilizopita
 
Tunashukuru kwa update mkuu Tanesco wameshafanya yao ila kiukweli unateseka
Usijari kuwa endelea kuwa nami nami sichoki kukuhabarisha

Nasimulia kile ambacho kinafanyika uwanjani

Mpira umetulia kwasababu ukianzia pale kwa didier moja kwa moja unasafiri mpaka kwa kaseke, hakuna pasi

Endelea kuinjoy wananchi wanaongoza goli 2

Na saizi ni kona inapigwa kuelekezwa goli la yanga lakini hakuna madhara
 
Back
Top Bottom