FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Ni ligii kuu Tanzania Bara, Kuendelea leo.

Ni Mbeya kwanza Dhidi ya Vinara wa ligi Kuu Tanzania Bara.

Mbeya Kwanza amekuwa na Mwanzo mzuri kwenye Ligii akipambana na wababe wa Soka La Tanzania Kama Polisi Tanzania.

Leo Yanga anahitaji kushinda kwa namna Yoyotr ile kama Atahitaji kuendelea kuongoza Ligi.

Game ni Saa Kumi Kamili Jioni

Tuwe hapa kwa Dk 90
 
IMG_1275.jpg

IMG_1274.jpg
 
Ata leo Yanga data bebwa tena

Huyuu mayele mechi a Namungo hakupiga hata mashuti ma 5
Mechi ya namungo mayele hakupiga mpira ile ambayo wewe unaihesabu kua haikufika mitano ile ilikua inamgonga tu baada ya kupigwa na wachezaji wengine

Hata huyo feisal naye kuna muda mpaka nilikua nimesahahu kwamba yumo uwanjani

Tuendelee kusubiri muda wa kabumbu tuone leo wamejipanga vipi maana naona wameirejea hali yao tuliyoizoea.
 
Back
Top Bottom