Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Mechi ya mkondo wa kwanza ya fainali ya CAF Champions League kati ya Mamelodi Sundowns na Pyramids FC itachezwa saa kumi jioni kwenye uwanja wa Loftus Versfeld.
Kaa nami hapa kwa matukio ya kusisimua kuhusu mechi hii kali
Tayari Kombe lipo uwanjani
Vikosi vya timu zote
Mechi imeanza
5' Hakuna mbabe
9' Kona - Mamelodi wanapiga
15' Mayele - Amekosa goli, mpira umetoka nje kidogo ya lango
37’ Mabadiliko - Miguel Cardoso kamtoa Tashreeq Matthews anaingia Ayden Adams
MAPUMZIKO: Mamelodi 0-0 Pyramids
Kipindi cha pili kumeanza, Mamelodi Sundowns 0, Pyramids FC 0.
47' Kadi ya Njano - Ahmed Atef (Pyramids FC).
54' Goooal - Mamelodi Sundowns 1, Pyramids FC 0. Lucas Ribeiro Costa anafunga kwa shuti la mguu wa kushoto ndani ya boksi, mpira unaingia kona ya chini kushoto.
78' Mabadiliko - Mamelodi Sundowns: Peter Shalulile anaingia kuchukua nafasi ya Iqraam Rayners na Neo Maema amemchukua nafasi ya Arthur Sales.
80' Mabadiliko - Pyramids FC: Ramadan Sobhi anaingia kuchukua nafasi ya Ahmed Atef.
84' Mabadiliko - Mamelodi Sundowns. Thapelo Morena anachukua nafasi ya Lucas Ribeiro Costa
90'+4 Gooooal - Mamelodi Sundowns 1, Pyramids FC 1 Walid El Karti (Pyramids FC) afunga kwa kichwa kutoka karibu sana na lango dakika za jiooni!F.
FULL TIME: Mamelodi Sundowns 1, Pyramids FC 1