mamelodi

Mamelodi is a township northeast of Pretoria, Gauteng, South Africa. A part of the City of Tshwane Metropolitan Municipality, it was set up by the then apartheid government in 1953.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo, Julai 11, 2026

    Nyota wa Mamelodi na timu ya taifa ya South Africa, Jayden Adams (25) amefariki dunia leo. Kiungo huyo amefariki dunia siku chache baada ya kushiriki fainali za kombe la Dunia, Marekani lakini mpaka sasa chanzo cha Kifo chake hakijawekwa wazi. R.I.P Jayden Adams For English Speakers South...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: FAR Rabat 1-1 Mamelodi Sundowns | CAF Champions League Final | Prince Moulay Abdellah Stadium | Mamelodi yatwaa ubingwa | (2-1) Aggregate

    Ni mkondo wa pili wa Fainal ya CAF Champions League. Mechi ya kwanza iliisha kwa Mamelodi kuibuka na ushindi 1-0. Tuone leo hali itakuaje nani atabeba ndoo?
  3. MANAGER DOCTOR WENGER

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu kuwa black African

    Namshukuru mungu kuwa black african. Muslim, Tanzania lastly masandawana fan, am so happy some times bored but still together
  4. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Full Time: Pyramids FC 2 - 1 Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 (Ag 3 -2) Pyramids Mabingwa

    Match Day Pyramids FC Vs Mamelodi Sundowns FC | CAFCL Final | 2nd Leg | 30 June Stadium | 01-06-2025 2000hrs VIKOSI VYA LEO Pyramids Mamelodi Tukutane hapa kwa Updates zote Muhimu!! Mchezo umeshaanza! Fiston Mayele anawapatia goli safi Pyramids dakika 23 Dakika 7 zimeongezwa kufidia...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT | Mamelodi 1-1 Pyramids | Fainali ya CCL - 1st Leg | Loftus Versfeld | 24.05.2025

    Mechi ya mkondo wa kwanza ya fainali ya CAF Champions League kati ya Mamelodi Sundowns na Pyramids FC itachezwa saa kumi jioni kwenye uwanja wa Loftus Versfeld. Kaa nami hapa kwa matukio ya kusisimua kuhusu mechi hii kali Tayari Kombe lipo uwanjani Vikosi vya timu zote Mechi imeanza...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi aliyekataa goli la Aziz K dhidi ya Mamelodi amepangwa kuchezesha fainali Simba VS RS Berkane Mei 25, Zanzibar

    CAF imemteua mwamuzi wa kimataifa kutoka Mauritania, Dahane Beida, kuchezesha mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya Simba SC na RS Berkane utakaopigwa Mei 25 huko Zanzibar. Hawa ndio waamuzi wa VAR kwa mchezo wa Simba dhidi ya RS Berkane • Mkuu wa VAR...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mamelodi angetolewa na Al Ahly,Simba naye angefungwa na Stellenbosch

    Ushindi wa Simba ulitegemea ushindi wa Mamelodi Vs Al Ahly,Pyramid Vs Kaizer Endapo timu zote za South zingetolewa ijumaa,basi wadingekubali timu yao ya Stellenbosch nayo itolewe Bosi wa mamelodi ndiye bosi wa Caf ,uzalendo ungetumika tu. VAR ni kifaa cha kijinga kinachochangia ugonjwa wa...
  8. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Yanga SC Yashtua Afrika sasa kuisubiri Pyramids au Sundowns!"

    Hongera sana kwa Yanga kwa kazi ya kishujaa ya kuwatoa mabingwa wa Zanzibar, timu ngumu kabisa ya KVZ! 🎉 Kwa kweli mmeonesha kiwango cha juu mno, mpaka tukabaki kushangaa. Sasa safari yenu ya kimataifa inaendelea kwa kishindo — hatua inayofuata ni kumkabili mshindi kati ya Pyramids FC na...
Back
Top Bottom