FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

Dodoma wanafanya shambulizi hatari kipa wa Simba Abel anacheza.
 
Saidoo anapiga faulo hatari inagonga mwamba pale na beki anaokoa dk 63
 
Mechi ikiisha hivi Simba na Azam wote watakua na point 60 ila Azam atabaki nafasi ya pili kwasababu ya uwiano mzuri wa magoli ya kufunga na kufungwa.
 
Back
Top Bottom