FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

Labda kama unaweka million ila mimi kwenye stake mpk laki 5 nimefika , nilikua naweka stake laki 5 kama umevuka hapo ntakupa shikamoo
Rafiki yangu huko kwenye milioni nilitoka zamani .

Niko kwenye milioni kadhaa uwa nikichezea vichapo napotea hapa jamvini hata mwaka maana uwa ni mimi na pombe maana nakuwa nimechanganyikiwa .

Anyway leo usimpe Yanga win , bayern mpe na city draw twende hivyo badae niombe mkeka wangu .

Vipi lakini kamnyweso unatumia ? Nimeweka mkweche wangu bond niko na laki sita hapa Mbeya Carnival njoo tunywe kaka maisha ni haya haya .
 
Yanga leo atafungwa 3 kwa moja na atatupwa nje ya mashindamo mark my words
Nime mark tayari ila naomba ikitokea kinyume chake tusijesikia maneno ya wakimbizi, hawana ligi, mara hawana wachezaji. Kwa hii comment yako tu umekiri kuwa Al Merrikh ni timu kali sana ya kuweza kuifunga Yanga goli tatu leo.
 
Rafiki yangu huko kwenye milioni nilitoka zamani .

Niko kwenye milioni kadhaa uwa nikichezea vichapo napotea hapa jamvini hata mwaka maana uwa ni mimi na pombe maana nakuwa nimechanganyikiwa .

Anyway leo usimpe Yanga win , bayern mpe na city draw twende hivyo badae niombe mkeka wangu .

Vipi lakini kamnyweso unatumia ? Nimeweka mkweche wangu bond niko na laki sita hapa Mbeya Carnival njoo tunywe kaka maisha ni haya haya .
Hapo kuna wahudumu washamba sana
 
Mimi nipo dsm hata hivyo sio mnywaji , mimi nakula nyama na pisi nikitoka hapo ugonjwa wangu mwingine mpira
 
Back
Top Bottom