FT: CAFCL: Young Africans SC 1-0 Al-Merrikh SC | Azam Complex | 30/09/2023

Duh nakupa pole sana .
Angalia ID yangu alafu kahakiki hiko usemacho nimetoka shule zamani sana .

Niko na cheque namba nakula hela yenu ya kodi kitambo .

Sema nini mshahara wenyewe ushaisha nimenywea pombe rafiki , vipi unataka kunisapoti nini ?

Njoo nikuuzie mkweche wangu kuna IST naifukuzia hapo mjini kati .

Anyway hivi Yanga ni timu yako aisee sijui kama mnatoboa .

Hivi wewe ni Frank ?

Nisamehe bure jua kali sana hapa Mbeya hivyo akili iko less
ha ha ha ha
Wanaume hatujielezi sana mkuu
 
Back
Top Bottom