Malizia kuwa nyuma mwiko dadaDaima mbele!!
Kila la kheriii wananchi!
Sasa huyo ndio hamnazo kabisa.Yani we jamaa nakuonaga unaakili kumbe nawe ni mbumbumbu kama wenzio sasa mambo ya simba yanaingia vp kwenye uzi wa mechi ya YANGA
Ndoto za mchana hizo.Yanga leo atafungwa 3 kwa moja na atatupwa nje ya mashindamo mark my words
ha ha ha haDuh nakupa pole sana .
Angalia ID yangu alafu kahakiki hiko usemacho nimetoka shule zamani sana .
Niko na cheque namba nakula hela yenu ya kodi kitambo .
Sema nini mshahara wenyewe ushaisha nimenywea pombe rafiki , vipi unataka kunisapoti nini ?
Njoo nikuuzie mkweche wangu kuna IST naifukuzia hapo mjini kati .
Anyway hivi Yanga ni timu yako aisee sijui kama mnatoboa .
Hivi wewe ni Frank ?
Nisamehe bure jua kali sana hapa Mbeya hivyo akili iko less