Ndogo hii?Mechi ndogo huwa sipendi kuangalia
Ndio nimeona hapa kumbe Uto wanacheza, sikujua
Basi we angalia tu mpira..😂Kwao wapi?
Ulikua hujui km kuna game leoNdio nimeona hapa kumbe Uto wanacheza, sikujua
Sikujua. Hapa lodge wamebadilisha channel ndio naonaUlikua hujui km kuna game leo
Ndio kwani we hukumsikia kocha akisema wachezaji wake ni mashabiki wa Yanga?Ndogo hii?
Upo lodge?Sikujua. Hapa lodge wamebadilisha channel ndio naona
BadoHakuna goli mpk sasa!!?
Wapi weweUtopolo wana pelekewa moto wakiwa nyumbani
Sio tatizoNawaombea utopolo wafuzu group stage ili wakapangwe kundi moja na Mamelodi sundowns
Huwezi kuona tatizo mpaka pale mtakapo pangwa naoSio tatizo