superchager turubo
Senior Member
- Aug 12, 2023
- 177
- 304
bloo vipi mbona unatukana kiaina?😕Wazee wa mwiko nyuma...hebu tuone....
bloo vipi mbona unatukana kiaina?😕Wazee wa mwiko nyuma...hebu tuone....
Atakuja Kuacha Kumuanzisha Mzize Ni Suala La Muda Tu.Halafu sijajua ni kwa nini hampi nafasi Hafidh Konkoni kuonekana kwenye mechi kama hizi. Anyway, time will tell. Ila kwa kweli bora Mzize awe anatokea sub.
Ngapi ngapi hukoooooAzam wanakufa kiume huko Yani hii timu
Basi ianzishie sindanoHii mechi nayo ni ya kuanzishia uzi kweli?
Kila la heri mtaniKila la kheri Timu ya Wananchi katika kuyaanza vyema mashindano ya Kimataifa.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Amin amin!!!!Kila la kheri Timu ya Wananchi katika kuyaanza vyema mashindano ya Kimataifa.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
😂😂😂Basi ianzishie sindano
AiscoreApp gani hii?
Kwanini hawachezei kwao mkuu...?Woyoooo Da Yanga African piga piga hao Dj ibout
Mpira ushaanza huku weweBado Mkuu mpaka 17:30hrs.
Kwao wapi?Kwanini hawachezei kwao mkuu...?
Mechi ndogo huwa sipendi kuangalia