ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 11,016
- 9,722
Wakulima mdomo umewatokea masikioni
Mm sijui kiingereza lakini utajua siku hiyo.Yes tutakutana and in that day We gon' have a final word between ourselves bro
Hahahaaaa! Eti Jini Baleke. LolHata kipenzi changu Shadeeya simuoni, hebu Bantu Lady muite huyo mrembo kuna Jini Baleke huku linasumbua wakulima wa mpunga
Umemuona mume wa Yanga huyo, shoneni shela zuri la kuburuzikaHahahaaaa! Eti Jini Baleke. Lol
Leo kimemuwakia. 😅😅😅Mtani, umelisikia jini limevamia mashambani mara 3
Kwakweli, kajiokotea. Lazima walipie kipigo cha Raja🤣😂🤣😅😃😄Leo kimemuwakia. 😅😅😅
Mwenzako bibie Bantu Lady amejificha eh?😜😄Hahahaaaa! Eti Jini Baleke. Lol
Hata sijakuelewa we nae. Mume wa Yanga kiaje tena? 😳Umemuona mume wa Yanga huyo, shoneni shela zuri la kuburuzika
Kwahiyo hata ile ta Horoya aliyofungwa saba, nayo ilimalizika mezani?Hakuna mechi tena ilishamalizwa mezani .
Nadhani ni Yanga pekee🤣😂😍Hivi timu gani ya Ligi Kuu hapa bongo haijawahi kufungwa walau goli 4 na Simba?
Harusi tarehe 16 utaelewa siku hiyo. Baleke anachukua chomboHata sijakuelewa we nae. Mume wa Yanga kiaje tena? 😳
😅😅😅Kwakweli, kajiokotea. Lazima walipie kipigo cha Raja🤣😂🤣😅😃😄
Hamna hajajificha bana. Anahudumia familia saa hii. 😀Mwenzako bibie Bantu Lady amejificha eh?😜😄