Frustrations tu: Waziri wa Mambo ya Nje akiwa Rais ni misele ya nje kila siku, ukichagua wa ujenzi ni kuvunja nyumba tu

Ajira ipi. Take vijana??

Huwa naamini kuwa uko mahiri katika kuchambua mambo, sasa najiridhisha kuwa nilichoamini kuhusu wewe sivyo ulivyo. Yaani unawaza kuwepo na ajira papo kwa papo, du! Mabidiliko yoyote ni mchakato, kama ulikuwa hujui!
 
nimekuuliza ajira ipi ili uiweke hapa tujue maana ajira una generalize iweke ainisha kwamba waqlimu wameongezeka ajira kulinganisha na kikwete, ainisha kwamba askari jeshi wameongezeka ukilinganisha na miaka ya kikwete, ainisha askari magereza wameongezeka kwa kiasi fulani ukilinganisha na kikwete

Kwa kifupi walimu waliokuwa wanaajiriwa idadi yake , magufuli kaajiri 32% Only,
vijana wa JKT kwenda jeshi ni mwaka wapili hawajaenda wanashindia posho tu,

Kwa haraka haraka Magufuli kashusha percentage ya employment rate annually na kapandisha un employment rate chunguza
 
hii inaonesha nchi haina sera madhubuti. Chukulia kwa trump uwe umeingia mpinzani au unejirudia wa chama tawala.. sera zinazo boresha maisha ya mwanchi utazisimamia tu utake usitake
Sera mbofu
 
britannica tena, katika kukurupuka na mawazo mgando. Kama hujui kitu ukubali kuwa hujui kama hujui. Ni aibu kutumia JF jamvi lenye heshima kuandika hoja za kitoto. Na kama umetumwa na wenye chuki za kisiasa, waambie wanadi siasa zao zenye tija kwa maendeleo ya watu na nchi kwa ujumla, badala ya mwasho washo wao na siasa majitaka.

Anachokifanya Rais Magufuli na Serikali ya CCM ni kutekeleza Ilani ya Chama ya Uchaguzi 2015, ambayo iliandikwa ikizingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2025.

Kwa kifupi Ilani ya CCM ya Uchaguzi 2015 ina mambo makuu yafuatayo:
1) Kupambana na Umaskini kupitia kauli mbiu ya Kilimo Kwanza; upimaji ardhi; kuimarisha huduma za jamii (afya, elimu, maji, umeme, nk); na kurasimisha biashara ya wafanyabiashara wadogo. Matokeo ya miaka miwili yanaonekana.

2) Ajira kwa vijana kupitia ukuzaji na ujenzi wa viwanda vidogo, vya kati na vikubwa vilivyo na uwezo wa kuajiri watu wengi. Miaka miwili ya utawala wa Rais Magufuli hili linaonesha mwelekeo unaotia matumaini makubwa. Walio DSM fikeni viwanja vya Sabasaba mjionee bidhaa zinazolishwa na viwanda vya zamani na vipya.

3) Vita dhidi ya rushwa ambapo tunashuhudia utumbuaji usiojali hali ya mtu kwa kipato au heshima yake katika jamii.

HAPA KAZITU#
bona ulipanik
 
Mbona mkapa alikuwa hashindi kufuja Hela kwenye safari za nje na aliwahi kuwa waziri wa mambo ya nje? Ni ulimbukeni tu wa Mtu binafsi

Lakini alifuja kwa pigo moja la kununua dege lililoambatana na ahadi ya kuwalisha nyasi wananchi wake.
 
britannica tena, katika kukurupuka na mawazo mgando. Kama hujui kitu ukubali kuwa hujui kama hujui. Ni aibu kutumia JF jamvi lenye heshima kuandika hoja za kitoto. Na kama umetumwa na wenye chuki za kisiasa, waambie wanadi siasa zao zenye tija kwa maendeleo ya watu na nchi kwa ujumla, badala ya mwasho washo wao na siasa majitaka.

Anachokifanya Rais Magufuli na Serikali ya CCM ni kutekeleza Ilani ya Chama ya Uchaguzi 2015, ambayo iliandikwa ikizingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2025.

Kwa kifupi Ilani ya CCM ya Uchaguzi 2015 ina mambo makuu yafuatayo:
1) Kupambana na Umaskini kupitia kauli mbiu ya Kilimo Kwanza; upimaji ardhi; kuimarisha huduma za jamii (afya, elimu, maji, umeme, nk); na kurasimisha biashara ya wafanyabiashara wadogo. Matokeo ya miaka miwili yanaonekana.

2) Ajira kwa vijana kupitia ukuzaji na ujenzi wa viwanda vidogo, vya kati na vikubwa vilivyo na uwezo wa kuajiri watu wengi. Miaka miwili ya utawala wa Rais Magufuli hili linaonesha mwelekeo unaotia matumaini makubwa. Walio DSM fikeni viwanja vya Sabasaba mjionee bidhaa zinazolishwa na viwanda vya zamani na vipya.

3) Vita dhidi ya rushwa ambapo tunashuhudia utumbuaji usiojali hali ya mtu kwa kipato au heshima yake katika jamii.

HAPA KAZITU#
Hakuna kitu kibaya km hujui na hujui hujui.unapoponda hoja lazima uwe smart enough, otherwise unakua kituko.
 
Back
Top Bottom