saana bora kijiko vikubwa kabisa vile vya mezani
)
Baaada ya kuchanganya gently chukua sukari kiasi weka kwenye kikombe kidogo cha chai ukamulie yale machungwa, koroga mpaka ilainike kisha mimina katika huo mchanganyiko
Hilo tango utakata slices ndongo mno mana lengo moja wapo la muhimu ni harufu yake katika matunda kuliko hata ladha.yake
Note;
Best eaten when chilled, na mara nyingi ni bora yakatengenezwa kwa ajili ya kuliwa siku hiio hio
Ukifuata vipimo hivo hapo juu inatosha kama 5 to 7 servings
na ni nzuri saana kuwapa wahusika saa moja kabla ya mlo au saa moja baada ya mlo.
Pamoja Saaana..
ADI