From UDOM, kwa waliofanya usaili wa kuandika

UDOM wameanza kuita watu kwa ajili ya Oral Interview, wameanza na madereva, list ya majina ipo kwenye website ya chuo The University Of Dodoma. ila kwa watu wa Accounts walishaajiri na watu wameshaanza kupiga mzigo..!

hao wa accounts walienda kimya kimya? so hapa ndo wanaanza kuita au kuna wengine tayari na wao wameshaanza kazi kama accounts?
 
hao wa accounts walienda kimya kimya? so hapa ndo wanaanza kuita au kuna wengine tayari na wao wameshaanza kazi kama accounts?


wa Accounts waliitwa faster faster kwa sababu walikua wanahitajika haraka sana...ila wataendelea kuita wa post nyingine, nilikua juzi kule ndio wakanipa hizo info, so jaribu kua karibu na website yao ya chuo
 
Skia, udom hapana isue pale. yani waliofanya writen walishapigwa pembeni. wanaowaita kwa oral ni wengine kabisaaa. udom pia iko hivi '"bwawa limeingia luba" kama mlikua hamjui. hizi ni info nmezinyaka kwa ofisa mmoja wa udom alokua akilopoka akiwa yupo maji sehem
 
Back
Top Bottom