when the going get tough.....lazima viporo vitafutwe!
Ruttashobolwa ame dedicate hii nyimbo kwa mpenzi wake wa kumoyo,kaniomba niirushe hapa kwa niaba yake:
oh Madame B,
oh Madame B,
umenigeuza shamba la bibi,
sina tena kitambi,
kama zamani sitambi,
Chimbuvu katia kambi,
Chibolo katia kambi,
mbele yao sitambi,
ila ujue Madame B,
nakupenda kuliko chips na tambi.