Kwani we hujui kwamba binadamu wanapenda kubembelezwa?....MI nisipobembelezwa na mke wangu naweza hata nikapanda kitandani na viatu, na kujifunika shuka!...huh!

haaa kaka umeuwaaa,nimecheka sana aisee...u have made ma day!..kubembelezwa raha sana jamani, mie kuna wakati inabidi inibembeleze mie kuliko mwanae...lol