From Madame B to Mung Chris...

Kweli huwez Jua mwenza Wa maisha sehemu mtakayokutana ,,,hongereni sana kila la kherii
 
Hongera kwa kutoa hisia zako za penzi ulilozama ukaoza kabisa, kwasasa washa PM tu hakuna atakaye kuja huko
Mimi Pm yangu haiko closed kwa kuwa najua nini nafanya.
Iko wazi kwa maana sio wote wanaokuja wanafata upuuzi.
Kuna deals nyingi zinapitia Pm.
Sioni sababu ya kufunga ikiwa najielewa na naelewa mazingira mkuu.

Karibu
 
Kweli huwez Jua mwenza Wa maisha sehemu mtakayokutana ,,,hongereni sana kila la kherii
Asante sana chlorine gas.
Maisha ya mapenzi yanapitia hatua.
Na hatua huanza na moja...
Na moja ya hatua hiyo ni kama hii tuliyopitia mpaka tukafahamiana na kuridhiana.
Asante sana
 
Mimi Pm yangu haiko closed kwa kuwa najua nini nafanya.
Iko wazi kwa maana sio wote wanaokuja wanafata upuuzi.
Kuna deals nyingi zinapitia Pm.
Sioni sababu ya kufunga ikiwa najielewa na naelewa mazingira mkuu.

Karibu
Nitakuja kukupa hongera ukijifungua.
 
mm nawaombea heri mkuu!nna kahofu kadogo siku madame akimfumania chris! sijui shoga atachambaje😀
Hahaha.
Ashamaliza ujana na mie nishamaliza ujana.
Hatuna wasiwasi.
Ila asijaribu maana sitamuacha salama.
Hahahaha
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…