From Madame B to Mung Chris...

Sorry Mi niulize

Mlijuana humu...sawa
Umri wa kila mmoja wenu umekaaje mmeofautiana miaka minngap na nan mkubwa?
 
Sorry Mi niulize

Mlijuana humu...sawa
Umri wa kila mmoja wenu umekaaje mmeofautiana miaka minngap na nan mkubwa?
kiukweli Mung simfahm ila kiukwel ni anaonekana mstaarabu kaka wa watu...umri sio ishu kbs.. sema madam hatakiw kuwa na men mpole ht kidg ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
mbwa koko hula hata mavi akikosa mnofu!!
Walee wazee wenzangu nafikiri tumepata taarifa wa kuichukua aichukue wa kuiacha ajue tu mke wa mtu Sumu.

Wahenga walisema cha mtu mavi... Madame B ashakuwa cha mtu ashakuwa mavi...
 
Hukuwahi kuniambiaga maneno matamu hivi, inaelekea hukuwahi kunipendaga.
 
Mbona ujumbe mkali hivi madam b

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpwa[emoji41]!!
 
Hahahahahaha madam jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ