Maneno si ndo haya Sasa. Nakuja kisandukuni.Wewe tu na nguvu zako za kiume.
Za kuweza kuua tembo kwa ubua
Madam kama upo Arusha tufanye mpango tukutane tuyapangeWe nawe usichokoze wafu waliozikwa na kudra zao.
Pendo mchezo.
Unadhani kupendana ni kama matako, kila mtu anayo...
Natafuta mwanaume mpya sasa
OkMie niko Sanawari...nipe direction
๐๐๐๐๐We nawe usichokoze wafu waliozikwa na kudra zao.
Pendo mchezo.
Unadhani kupendana ni kama matako, kila mtu anayo...
Natafuta mwanaume mpya sasa
We nawe usichokoze wafu waliozikwa na kudra zao.
Pendo mchezo.
Unadhani kupendana ni kama matako, kila mtu anayo...
Natafuta mwanaume mpya sasa
Ebu ngojeni kwanza kwani Madame shemeji yetu wa kichaga vipiii kumpokea kote kule na mdumange juuuu jamaniiiyaan ww unataka madame aanze vichambo vyake!kwann lakini?huu uzi haufai kufukuliwa...leo sipend kucheka had kulia mie
๐๐๐๐๐๐๐Watu kwa kufukia makaburi hawajambo.
Wafu tumejilalia zetu anakuja kuvuta shuka
Ebu ngojeni kwanza kwani Madame shemeji yetu wa kichaga vipiii kumpokea kote kule na mdumange juuuu jamaniii
Nilikuwa sijui kama wewe ni mwanamkekamuacha shogaa..shem alikaba had penalty...inahu
HahahhahEbu ngojeni kwanza kwani Madame shemeji yetu wa kichaga vipiii kumpokea kote kule na mdumange juuuu jamaniii
Eeeenh Madame nae tatizo atakuwa amemchanganya baba wa watu wa kichagakamuacha shogaa..shem alikaba had penalty...inahu
We acha tu.Eeeenh Madame nae tatizo atakuwa amemchanganya baba wa watu wa kichaga
Hahhahah thread yote hiii sitaki kuamini jamaniii kwahiyo shemeji kamwagwa sasa sura zetu tutaziweka wapi kumkaribisha kote kuleHahahhah
Shoga kudanga huku, mpaka tunadangia sipo.
Ahhh....mie nimeona giza tu..natafuta mwanga sa hv.
Hahaajajaa.....chezea mapenzi wewe.
Mapenzi tuwaachie akina Kassim Mganga
Lakini Madame si uliamua kutulia ili uoleweHaihuuu mwaya.
Chaa!!!
Cha kumnenepesha mgeni mwenyeji akalamba mwiko!!!
Akhaa!!!
๐๐๐vibaya hvo jaman nyie wanwake npendweje jaman..kweli nimeamini wasemayo hatujielew tunataka nn๐!nipe ruhusa nianze salam mara moja moja kwa ex๐pmHaihuuu mwaya.
Chaa!!!
Cha kumnenepesha mgeni mwenyeji akalamba mwiko!!!
Akhaa!!!
HahahahahhhahhahhahahHahhahah thread yote hiii sitaki kuamini jamaniii kwahiyo shemeji kamwagwa sasa sura zetu tutaziweka wapi kumkaribisha kote kule